Blog

Baraka ana ‘Stress’ za Mapenzi?

Mwaija Salum

August 20th, 2018

No comments

Baada ya kupungua mwili na yeye mwenyewe kukiri kuwa amepungua, Mashabiki wa Da Prince wamedai huenda msanii huyo amepungua mwili kutokana na kuwa na stress za mapenzi baada ya kudaiwa kuachana ......

Shilole aanika mjengo wake

Mwaija Salum

August 20th, 2018

No comments

Msanii na Mjasiliamali, Shilole ameonyesha mjengo wake kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika ’Mama Ntilie mie Nikiwa ktk harakati za kupambana kumalizia ili na mm niitwe Mama mwenye ......

#Break Nikki Mbishi Awapa Darasa Rosa Ree, Chemical/ Amchana Live Country Boy

Mwaija Salum

August 20th, 2018

No comments

Rapa Nikki Mbishi amemchana msanii Country Boy na wasanii wengine wanakwenda tofauti na muziki, pia amewapa ushauri wasanii Rosa Ree na Chemical....

Bobi Wine alivyokamatwa na polisi baada ya dereva wake kuuawa.

Mwaija Salum

August 16th, 2018

No comments

Mbunge nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Boni Wine alikamatwa na polisi saa kadhaa baada ya dereva wake kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi. Awali Bobi Wine alidai kuwa dereva wake ......

Ben Kinyaiya: haya ni mambo ya kazi, watu wasitoke povu!

Mwaija Salum

August 15th, 2018

No comments

Picha iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimwonyesha picha Ben Kinyaiya akimvisha pete mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wake, imezua gumzo. ‘’Haahaaaa haya ni mambo ya kazi, watu wasitokwe ...

Katibu Mkuu CCM, Bashiru Ally ndani ya #Clouds360.

Mwaija Salum

August 15th, 2018

No comments

Mapema leo asubuhi kwenye kipindi cha #Clouds360 #CloudsTV alikuwepo Katibu Mkuu wa Cha Cha Mapinduzi, CCM  Mh. Bashiru Ally amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu chama chake na siasa ......

Waitara afunguka kuhama CHADEMA kwenye #Clouds360

Mwaija Salum

August 14th, 2018

No comments

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya CHADEMA,Mwita Waitara na sasa kuhamia CCM mapema leo asubuhi alifanya mahojiano na kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na kufunguka sababu ......

MO SALAH ACHUNGUZWA NA POLISI

Mwaija Salum

August 14th, 2018

No comments

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah ‘Mo Salah’ anachunguzwa na polisi nchini England kutokana na kuendesha gari huku akiwa anatumia simu. Mo Salah ambaye ni raia wa Misri ameingia ......

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966