MAMBO
YA NYUKI DJ'S
Kama ilivyo kawaida ya Nyuki Dj's ndani ya Club Billicanas kumwaga maasali
tuuuuu, kila siku ya jumamosi,na ma-star wa bongo kibao,safari hii ndani
ya Club Billicanas jumamosi ya tarehe 28/04/2007 kutakuwa na ma-star watatu,
namuongelea Besta, unataka viuno?, karibia tuuuu, Jos
Mtamboo kutoka kigamboo na bonge la ohoooooo haijaishia
hapo Chelea Man usimuacheeeeeeeeeeeee.