MAIN
NEWS
SCHEDULES
CREW
CHARTS
PLAYLISTS
EVENTS
GALLERY
EXTRAS
CONTACTS

ADVERTS

NEWS

News
NICK MBISHY MSHINDI WA KWANZA WA FREE STYLE CLOUDS FM :: 17-03-2008 15:23:08

Nick mbishy amefanikiwa kuonyesha kipaji chake kwa wiki nne mfululizo,wiki ya kwanza alianza kwa kumdondosha mkali Godzila katika wiki yake ya tatu nakuanza safari yake hapo,wiki ya pili alikutana na emanuel masawe nae akamgaragaza , wiki ya tatu kakutana na c feza nae akamdidimiza na wiki yake ya nne ambayo ni jumamosi ya juzi tarehe 15 kamchapa kwa free style jamaa anejiita mkristo nahatimaye kuzikamata shilingi laki moja na nusu

hii na katika kuwatafuta washindi sita kutoka dar na watatu kutoka kila mkoa na hatimae kutafutwa mkali wa free style wa tanzania na kujipatia kitita cha shilingi milioni moja

yeyote anaetaka kushiriki kwenye bongo flava aje office zetu kujiandikisha wa mkoani watume sms kuandika majina ya mikoa yao wakianza na neno bongo wanaacha nafasi kisha wanatuma kwenda namba 15584

ADVERT

© 2007 Clouds Entertainment, All rights reserved
Powered By Vision Investments